Lugha Nyingine
Habari ya Picha: Mandhari Nzuri ya Mbuga ya Milimani huko Yunnan, China
Picha ikionesha mandhari nzuri ya mbuga ya milimani ya Gulongba katika Mji Mdogo wa Binju wa Wilaya ya Binchuan, Mkoa wa Yunnan wa China. (Picha/Zhao Qingling) |
Katika mbuga ya milimani ya Wulongba ya Mji Mdogo wa Binju, Wilaya ya Binchuan ya Mkoa wa Sichuan wa China, jenereta za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo zinazunguka chini ya anga buluu, huku ng'ombe na kondoo wakila kwenye malisho huko. Mandhari hiyo ni nzuri kama ilivyosimuliwa kwenye mashairi.
Katika majira ya joto, hali ya hewa kwenye Mbuga ya milimani ya Wulongba si joto, sehemu hiyo yenye mandhari nzuri na wanyama na mimea ya aina mbalimbali imekuwa kivutio cha utalii kinachopendwa zaidi wakati wa likizo kwa watu.
Wakulima washughulikia kuvuna mazao ya mbegu za mayungiyungi huko Wilaya ya Quannan, Mkoa wa Jiangxi
Panda "Ruyi" na "Dingding" washerehekea siku ya kuzaliwa huko Moscow
Safari isiyoweza kusahaulika ya mcheza dansi wa Russia katika Mkoa wa Xinjiang, China
Mradi wa kuzalisha umeme kwa upepo wa De Aar nchini Afrika Kusini wapunguza utoaji wa hewa ya kaboni
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma