Lugha Nyingine
Maonyesho yafanyika Shanghai ili kuonyesha mila na desturi za Mwaka Mpya wa Jadi wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2024
Msanii wa Sanaa za mikono akionyesha kazi za kukata karatasi kwenye maonyesho ya mila na desturi za Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaliyofanyika katika Kituo cha Sanaa za Watu mjini Shanghai Januari 28, 2024. (Xinhua/Liu Ying) |
Mamia ya vitu zikiwemo picha na bidhaa za kipekee za Shanghai vimeonyeshwa kwenye maonyesho ya mila na desturi za Mwaka Mpya wa Jadi wa China mjini Shanghai.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Bidhaa zenye umbo la Dragoni zapendwa kwenye maduka nchini China
Ndege mtilili mwenye koo nyeupe aonekana katika bustani ya Mji wa Xiamen, Kusini Mashariki mwa China
Katika Picha: Maonyesho ya taa za kijadi ya bustani ya Yuyuan mjini Shanghai, China
Watu washerehekea Sikukuu ya Timket huko Addis Ababa, Ethiopia
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma