Lugha Nyingine
Sherehe kwenye hekalu zafanyika Mkoa wa Henan katikati ya China
Wasanii wa kijadi wakicheza ngoma ya simba kwenye sherehe zilizofanyika katika hekalu katika wilaya ya Xunxian, Mkoa wa Henan katikati ya China, Februari 25, 2024. |
Wakazi wa huko wa kundi la maonesho ya Shehuo wameshiriki katika sherehe kwenye hekalu huko Xunxian siku ya Jumapili, siku moja baada ya Sikukuu ya Taa za jadi ya China. Shehuo ni sherehe ya kijadi yenye kufanana na kanivali, ambapo watu wanafanya maonyesho ya kucheza ngoma ya dragoni, ngoma ya simba, kufanya maonesho ya opera ya kijadi ya China, kupiga ngoma na kufanya maonyesho mengine ya kitamaduni ambayo ni ya aina mbalimbali tofauti katika maeneo tofauti. (Picha na Zhang Tingyuan/Xinhua)
Sherehe ya "Kuonyesha Buddha" yafanyika katika Hekalu Kaskazini Magharibi mwa China
Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia
Ndege C919 ya China yashiriki mazoezi ya Maonyesho ya Anga ya Singapore
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma