Lugha Nyingine
Video: Sekunde 30, kujionea namna chuma cha pua kinavyozalishwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2024
Hapa koili ya chuma cha pua inaweza kuzalishwa kila baada ya sekunde 90, tanuri la kuyeyusha chuma cha pua hujazwa kila baada ya dakika 30, na koili za chuma cha pua za tani 1,200 zinaweza kuzalishwa ndani ya saa moja. Kiwanda hicho kinatumia teknolojia zaidi ya 130 za uzalishaji wa kijani wa chuma cha pua, kikiweza kutumia kwa asilimia 100 mabaki ya uzalishaji wa chuma cha pua...... Hebu fuata kamera ya timu ya waandishi wa habari wa People's Daily Online ya “China inayosonga mbele” kuingia ndani ya kampuni ya Tanggang ya Kundi la HBIS iliyopo mkoani Hebei, China na jionee namna chuma cha pua kinavyozalishwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma