Lugha Nyingine
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Rwanda yaonesha Kagame kuongoza kwa asilimia 99.15
(CRI Online) Julai 16, 2024
Mpiga kura akipiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa rais na wabunge wa Rwanda katika kituo cha kupigia kura huko Kigali, Rwanda, Julai 15. 2024. (Xinhua/Wang Guansen)
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Rwanda imesema kwa mujibu wa matokeo ya awali ya asilimia 79 ya kura zote halali zilizopigwa na kuhesabiwa tayari, rais wa sasa wa nchi hiyo Paul Kagame anaongoza kwa asilimia 99.15 katika uchaguzi mkuu wa rais na wabunge uliofanyika siku ya Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma