Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping wa China atuma barua ya pongezi kwa mkutano wa 11 wa Baraza la Xiangshan la Beijing
(CRI Online) Septemba 13, 2024
Rais Xi Jinping wa China ametuma barua ya pongezi kwa mkutano wa 11 wa Baraza la Xiangshan la Beijing.
Katika barua hiyo, rais Xi ameeleza matumaini yake kuwa baraza hilo litaendelea kufuata moyo wa usawa, uwazi, ujumuishi na kufundishana, kukusanya maoni ya pamoja na kuimarisha hali ya kuaminiana, ili kutoa mchango zaidi kukabiliana kwa pamoja na changamoto za usalama duniani na kuhimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma