超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kampuni ya China kujenga barabara ya kuunganisha?Iringa na Hifadhi ya Ruaha nchini Tanzania

(CRI Online) Septemba 24, 2024

WAZIRI wa Ujenzi wa Tanzania Bw. Innocent Bashungwa, ameongoza hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 104 inayounganisha mji wa Manispaa wa Iringa mkoani Iringa na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha nchini Tanzania.

Mradi huu ambao umekuwa ndoto ya wananchi kwa zaidi ya miaka 60, utaanza kutekelezwa kwa gharama ya Sh bilioni 142.56 na kampuni ya China Henan International (CHICO) na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24.

Waziri Bashungwa amewahakikishia wananchi kuwa fedha za mradi huo zitatolewa bila kukwama, na kuwa atasimamia kithabiti ujenzi wa mradi huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha