超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kampuni za China zatafuta washirika wa Afrika katika maonyesho ya biashara ya maisha ya nyumbani ya China

(CRI Online) Septemba 25, 2024

Maonyesho ya Biashara ya Maisha ya Nyumbani ya China Mwaka 2024 yameanza mjini Johannesburg, Afrika Kusini jana Jumanne, huku zaidi ya kampuni 400 zikionyesha bidhaa na huduma zao kwa wafanyabiashara kutoka nchi mbalimbali za Afrika.

Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Maonyesho ya Kimataifa ya Meorient ambao pia ni waandaaji wa maonyesho hayo, Binu Pillai amesema, maonyesho hayo yana mabanda zaidi ya 800 yanayoonyesha bidhaa zaidi ya 14,000 za ubora wa juu, huku watu 30,000 wakijiandikisha kushiriki.

Amesema maonyesho hayo yanatoa fursa kwa kampuni za China na za Afrika kukutana na kufanya majadiliano ya kibiashara.

Pillai amesema, washiriki wa maonyesho hayo kutoka China wamepeleka bidhaa mbalimbali zenye ubora wa juu, ikiwemo mashine, vifaa vya biashara, bidhaa za mavazi na nguo, vifaa vya matumizi ya nyumbani, na samani za ofisini.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha