超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Xi Jinping aongoza mkutano wa viongozi wa CPC kuchambua hali ya uchumi na kupanga kazi za kiuchumi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2024

BEIJING - Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) imefanya mkutano siku ya Alhamisi kuchambua na kutafiti juu ya hali ya uchumi wa China kwa hivi sasa na kufanya mipango zaidi ya kazi za kiuchumi, ambapo Xi Jinping, Rais wa China na Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya CPC aliongoza mkutano huo.

Uchumi wa China kwa ujumla umekuwa na ufanisi tulivu mwaka huu, ukipiga hatua huku ukihakikisha utulivu, imekubaliwa katika mkutano huo.

Mkutano huo umesema, nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora zimepata maendeleo kwa hatua madhubuti, na juhudi thabiti zimefanywa ili kuhakikisha maisha ya watu kwa nguvu kubwa na maendeleo yanayohimiza hamasa pia yameweza kupatikana katika kuzuia na kupunguza hatari katika maeneo makubwa.

Mkutano huo umeeleza kuwa misingi ya uchumi wa China, na hali nzuri mwafaka kama vile soko kubwa, uhimilivu mkubwa wa kiuchumi na uwezo mkubwa bado havijabadilika.

Ni muhimu kuwa na mtazamo wa kuzingatia kwa pande zote kuhusu hali mpya na baadhi ya matatizo ya hivi sasa ya kiuchumi, kukabiliana na mambo magumu ipasavyo na kuendelea kuwa na imani, umesema mkutano huo.

Mkutano huo umesema, China inapaswa kutekeleza sera zilizopo kwa ufanisi, kuongeza juhudi za kutoa sera za nyongeza, zaidi kufanya hatua za kisera kuwa mahsusi na zenye ufanisi zaidi, na kujitahidi kutimiza malengo na majukumu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya mwaka huu.

Mkutano huo umesisitiza haja ya kutoa na kutumia vizuri dhamana maalum za kitaifa za muda mrefu na dhamana za malengo maalum za serikali za mitaa ili kuwezesha uwekezaji wa serikali kufanya kazi ya kuhamasisha watu na kazi.

Siku ya Jumanne wiki hii, Benki Kuu ya China, ambayo ni mdhibiti mkuu wa dhamana na mdhibiti wa fedha ilitangaza msururu wa sera kichocheo za mambo ya fedha, uungaji mkono wa soko la nyumba na hatua za kuimarisha soko la hisa ili kuhakikisha maendeleo yenye sifa bora ya uchumi wa China .

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha