超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

China yatunuku wataalam wa kigeni Tuzo ya Urafiki

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 01, 2024

Mjumbe wa Kitaifa wa China Shen Yiqin akitoa hotuba kwenye hafla ya kutunuku Tuzo ya Urafiki ya Serikali ya China Mwaka 2024 kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 30, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

BEIJING - China imetoa Tuzo ya Urafiki ya Serikali ya China Mwaka 2024 siku ya Jumatatu kwa wataalamu 100 wa kigeni wanaofanya kazi nchini humo kwa kutambua mchango wao katika maendeleo ya China.

Mjumbe wa Kitaifa wa China Shen Yiqin ametoa tuzo hiyo ya urafiki kwa watunukiwa, akiahidi kutoa jukwaa pana na urahisi zaidi kwa wataalam wa kigeni wanaofanya kazi na kuishi nchini China.

Shen amesema wataalam wa kigeni wametoa michango mikubwa katika harakati ya Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China, ambayo watu wa China wataendelea kuikumbuka.

Shen amesema, China itaendeleza kwa pande zote ujenzi wa mambo ya kisasa wa China na kuvutia vipaji kutoka duniani kote, akibainisha kuwa China itazidisha mageuzi zaidi, na kuendelea kuboresha mifumo ya uungaji mkono wa kuajiri vipaji vya ng'ambo.

"Tunatumai kwa dhati kwamba wataalam wa kigeni wataendelea kuchangia lengo kuu la Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China na kwa pamoja kuandika ukurasa mpya wa urafiki na ushirikiano kati ya watu wa China na watu wa nchi zingine," amesema.?

Mjumbe wa Kitaifa wa China Shen Yiqin akikabidhi Tuzo ya Urafiki ya Serikali ya China Mwaka 2024 kwa mtaalam kutoka Belarus kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 30, 2024. (Xinhua/Zhai Jianlan)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha