超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Rais Xi Jinping asisitiza ujenzi wa kikosi cha uungaji mkono wa upashanaji habari chenye nguvu kubwa na cha mambo ya kisasa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 06, 2024

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akitoa hotuba muhimu wakati akikagua kikosi cha uungaji mkono wa upashanaji habari cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA), Desemba 4, 2024. (Xinhua/Li Gang)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping wakati akikagua kikosi cha uungaji mkono wa upashanaji habari cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) siku ya Jumatano ametoa wito wa kufanya juhudi za kujenga kikosi cha uungaji mkono wa upashanaji habari chenye nguvu kubwa na cha mambo ya kisasa, na kusukuma mbele maendeleo makubwa ya ujenzi wa mfumo wa mtandao wa mawasiliano ya habari wa jeshi la China.

Kikosi hicho cha uuungaji mkono wa upashanaji habari cha PLA ni kikosi kipya cha kimkakati kilichoanzishwa wakati wa kufanya marekebisho na mageuzi ya muundo wa vikosi vya jeshi. Rais Xi alikabidhi bendera kwa kikosi hicho katika hafla ya kuanzishwa kwake mwezi Aprili mwaka huu.

Kwenye ukaguzi huo wa Jumatano, Rais Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), amesema kuwa mfumo wa mtandao wa mawasiliano ya habari unafanya kazi kubwa zaidi katika vita vya zama za hivi sasa, na askari na maofisa wote husika wanapaswa kufahamu vya kutosha umuhimu mkubwa sana wa kuimarisha mfumo huo.

Ametaka kikosi hicho kuharakisha juhudi zake za kujenga mfumo huo wa mtandao wa mawasiliano ya habari na kuimarisha uwezo wake katika kuhudumia na kuunga mkono maandalizi na uwezo wa kupigana vita.

Akisisitiza kufanya kazi kwa hatua madhubuti katika ujenzi wa mfumo huo wa mtandao wa mawasiliano ya habari, kuimarisha uhakikisho wa huduma za upashanaji habari, na kutilia maanani zaidi ulinzi wa usalama wa mtandao huo wa mawasiliano ya habari, kuunganisha haraka mtandao huo kwenye mfumo husika, ili kuelekeza uvumbuzi wa mfumo wa uongozi wa vita, na kubadilisha mbinu za kupigana vita.

Rais Xi ametaka kikosi hicho cha uungaji mkono wa upashanaji habari kushikilia kanuni ya kimsingi ya uongozi kamili wa Chama juu ya vikosi vya jeshi. Ametoa wito wa kufanya juhudi za kuboresha mienendo, kutekeleza nidhamu na kupambana na ufisadi, na kusisitiza kikosi hicho lazima kiwe na utii kamili, usafi na cha kutegemewa.

Rais Xi ameitaka Kamati kuu ya kijeshi kuimarisha kazi ya kupanga mpango wa mambo ya jumla, na vitengo vya kamati hiyo vitoe uelekezaji kwa hiari na kufanya juhudi za kushirikiana katika kujenga vizuri kikosi hicho cha uungaji mkono wa upashanaji habari na kuanzisha hali mpya ya mfumo wa mtandao wa mawasiliano ya habari wa jeshi letu.

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akikutana na wajumbe  wakati akikagua kikosi cha uungaji mkono wa upashanaji habari cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA), Desemba 4, 2024. (Xinhua/Li Gang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha