Lugha Nyingine
Rais wa China akutana na wakuu wa mashirika makubwa ya uchumi ya kimataifa
(CRI Online) Desemba 10, 2024
Rais Xi Jinping wa China leo Jumanne amekutana na kufanya mazungumzo na wakuu wa mashirika makubwa ya kiuchumi ya kimataifa wanaoshiriki katika Mazungumzo ya “1+10” mjini Beijing, mji mkuu wa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma