超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Serikali Kuu ya China yaunga mkono kikamilifu Hong Kong kupata msukumo mpya wa ukuaji wa ?uchumi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2024

Rais Xi Jinping akikutana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong (HKSAR) John Lee, ambaye alikuwa  kwenye ziara ya kikazi  katika mji mkuu Beijing wa China, Desemba 13, 2024. (Xinhua/Li Xueren)

BEIJING - Rais Xi Jinping siku ya Ijumaa alipokutana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong (HKSAR) John Lee, ambaye alikuwa katika ziara ya kikazi mjini Beijing amesema serikali kuu ya China inaiunga mkono kwa nguvu kubwa Hong Kong katika kuendana na mikakati ya kitaifa na kujipatia msukumo mpya na nguvu bora mpya kwa kukuza uchumi.

Kwenye mkutano huo, Rais Xi alisikiliza ripoti ya Lee kuhusu hali ya hivi sasa ya Hong Kong na kazi ya serikali ya HKSAR.

Rais Xi amesema kuwa maendeleo ya Hong Kong yanakabiliwa na fursa mpya za kihistoria serikali kuu ya China itatekeleza kikamilifu, kwa uthabiti na kwa usahihi sera ya "nchi moja, mifumo miwili" na kumwunga mkono kwa nguvu kubwa ofisa mtendaji mkuu huyo na serikali ya HKSAR kuongoza kwa mshikamano sekta zote za jamii katika juhudi za kufanya mageuzi na upigaji hatua, na kutafuta usimamizi mzuri na ustawi kwa kupitia uvumbuzi na ubunifu.

Akipongeza kazi ya Lee katika mwaka uliopita, Rais Xi amesema Lee ameongoza serikali ya HKSAR katika kubeba wajibu na kutoa matokeo halisi.

Katika mwaka uliopita, serikali ya HKSAR imekamilisha kihistoria utungaji wa Kifungu cha 23 cha Sheria ya Msingi ya HKSAR, kukusanya nguvu zote za kukuza uchumi na kutafuta maendeleo, kuhimiza kazi ya kushughulikia matatizo ya maisha ya watu kama vile makazi na matibabu, kuimarisha mawasiliano na ushirikiano na nje, na kuongeza siku hadi siku ushawishi wa Hong Kong duniani, na kuimarisha zaidi mwelekeo mzuri wa maendeleo ya utulivu ya Hong Kong, Rais Xi amesema.

Serikali Kuu inatambua vya kutosha kazi ya Lee na serikali ya HKSAR, amesema.

Viongozi wengine wa China Li Qiang, Cai Qi na Ding Xuexiang walihudhuria mkutano huo.?

Rais Xi Jinping akikutana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong (HKSAR) John Lee, ambaye alikuwa kwenye ziara ya kikazi  katika mji mkuu Beijing wa China, Desemba 13, 2024. (Xinhua/Xie Huanchi)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha