超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

China yadumisha kiasi cha juu cha matumizi ya nishati za upepo na jua

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2024

Picha hii iliyopigwa tarehe 19 Juni 2024 ikionyesha wafanyakazi wakifunga mashine za kuzalisha umeme wa megawati 16 kwa nishati ya upepo za mradi wa  kipindi cha pili  kwenye uwanja wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo waZhangpu, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

Picha hii iliyopigwa tarehe 19 Juni 2024 ikionyesha wafanyakazi wakifunga mashine za kuzalisha umeme wa megawati 16 kwa nishati ya upepo za mradi wa kipindi cha pili kwenye uwanja wa kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa Zhangpu, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Lin Shanchuan)

BEIJING - China imedumisha kiasi cha juu cha matumizi ya nishati za upepo na jua, takwimu rasmi zimeonyesha Jumapili, ikimaanisha kuwa nchi ya China ya kuongoza duniani kwa matumizi ya nishati mbadala imehakikisha mwendo kasi na sifa bora katika uendeshaji wake wa kijani.

Takwimu zilizotolewa na Idara ya Nishati ya China zimeonesha kuwa, matumizi ya nishati za upepo na jua yamedumishwa kwa zaidi ya asilimia 95 mwaka huu, na hadi kufikia mwisho wa Mwaka 2024, uwezo wa mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo ulifikia kilowati milioni 510, wakati uwezo wake wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua ulikuwa kilowati milioni 840.

Katika miezi saba ya kwanza ya Mwaka 2024, uzalishaji wa umeme kwa nishati za upepo na jua ulifikia kilowati trilioni 1.05, ukichukua asilimia 20 hivi ya jumla ya uzalishaji wa umeme nchini China.

Viwanda vya nishati mpya vya China vimepata ukuaji wa haraka katika miaka ya hivi karibuni, vikidumisha ongezeko la tarakimu mbili kwa mwaka.

Tokea Mwaka 2013, uwezo wa mashine za kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo nchini China umeongezeka mara sita, huku uwezo huo kwa nishati ya jua umeongezeka kwa zaidi ya mara 180. mashine mpya za kuzalisha umeme kwa mwaka zinachukua asilimia zaidi ya 40 ya zile za jumla duniani, zikichangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kijani duniani.

Kwenye mkutano wa kitaifa wa kazi ya nishati uliofanyika jana Jumapili, mamlaka za serikali ya China zimeahidi kuimarisha juhudi za kuendeleza na kutumia nishati za upepo na jua katika jitihada za kuhimiza mageuzi ya kijani na yenye kutoa kaboni chache ya China.

China pia inataka kuzidisha ushirikiano wa kimataifa wa nishati, hasa katika nishati ya kijani, na kushiriki kwa juhudi katika usimamzi wa nishati wa kimataifa, mkutano huo umeeleza.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha