超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Rais Xi Jinping ahimiza Mkoa wa Hainan kuandika ukurasa wake wa ujenzi wa mambo ya kisasa wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 18, 2024

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akisikiliza ripoti ya kazi  za kamati ya Chama ya mkoa wa Hainan na serikali ya mkoa huo na kutoa hotuba muhimu mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Desemba. 17, 2024. (Xinhua/Li Tao)

SANYA - Rais wa China Xi Jinping siku ya Jumanne baada ya kusikiliza ripoti ya kazi ya kamati ya Chama ya Mkoa wa Hainan na serikali ya mkoa huo amehimiza mkoa huo kuifanya Bandari ya Biashara Huria ya Hainan kuwa mlango muhimu wa kuhimiza ufunguaji mlango wa China katika zama mpya, na kujitahidi kuandika ukurasa wake wenyewe wa ujenzi wa mambo ya kisasa wa China.

Rais Xi amesema, Mkoa wa Hainan unapaswa kufanya juhudi kubwa zaidi za kujikita katika nafasi yake ya kimkakati iliyo ya eneo la majaribio la kuendeleza kwa kina mageuzi na kufungua mlango, eneo la majaribio la kitaifa la uhifadhi wa ikolojia, na kituo cha kimataifa cha utalii na matumizi ya manunuzi, na kuwa eneo la huduma kwa mikakati mikuu ya kitaifa.

Rais Xi amesema, ni lazima kufanya juhudi kubwa zaidi za kuendeleza mfumo wa viwanda vya kisasa vyenye umaalumu na nguvu bora vya Hainan, na kuimarisha na kupanua minyororo ya shughuli zake zilizo za nguzo kama vile shughuli za utalii, huduma za kisasa, viwanda vya teknolojia ya hali ya juu, na kilimo cha kitropiki chenye ufanisi wa juu na kuhimiza uboreshaji na upandishaji wa ngazi.

Rais Xi akisisitiza umuhimu wa kuhimiza mageuzi kwa uthabiti katika maeneo muhimu, ametoa wito kwa Hainan kuweka mkazo katika kutekeleza kwa pande zote sera na taratibu za bandari ya biashara huria, kuhimiza kwa nguvu kubwa ufunguaji katika nyanja ya utaratibu, na kujenga mazingira ya biashara ya kiwango cha maendeleo ya juu yaliyo ya soko huria, usimamizi wa kisheria na uendeshaji wa kimataifa.

Amesisitiza kuwa ni lazima kuinua siku hadi siku elimu ya kitamaduni ya watu na kujenga maadili na ustaarabu wa kijamii, akitoa wito wa kuhifadhi, kutumia na kurithisha rasilimali za kihistoria, kimapinduzi, bahari na utamaduni wa kiraia.

Amesisitiza kuongeza manufaa kwa watu kwa pande zote, na kuinua kiwango cha usimamizi wa jamii, akitaka kukamilisha mifumo ya utumishi wa kiumma mijini na vijijini, kukamilisha mfumo wa uhakikishaji wa jamii wa kitaifa, na kuimarisha uungaji mkono wa ajira na ujasiriamali kwa makundi muhimu.

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akisikiliza ripoti ya kazi  za kamati ya Chama ya mkoa wa Hainan na serikali ya mkoa huo na kutoa hotuba muhimu mjini Sanya, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Desemba. 17, 2024. (Xinhua/Ding Haitao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha