Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi huko Yulin mkoani Shanxi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2021
Septemba 13, Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Xi Jinping alifanya ziara ya ukaguzi huko Yulin mkoani Shanxi, ambako alikagua Kampuni ya kemikali ya Yulin ya Kundi la nishati la kitaifa, alitembelea Kijiji cha Gaoxigou kwenye eneo la mtaa wa Yinzhou wilayani Mizhi, na kutembelea kituo cha mapinduzi cha zamani cha Yangjiagou, na alifahamishwa kuhusu matumizi ya jumla ya mzunguko ya makaa ya mawe, kuhimiza kazi ya kudhibiti mmomonyoko wa udongo na ujenzi wa ustaarabu wa mazingira ya asili, kuimarisha uhifadhi na utumiaji wa vituo vya mapinduzi vya zamani, na kurithi moyo wa mapinduzi wa wanamapinduzi watangulizi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma