Lugha Nyingine
Rongcheng, Shandong: Pilikapilika za kuvuna mazao katika majira ya mpukutiko kwenye shamba na uwanja wa kuanika mazao
Hivi sasa, ni msimu wa mavuno ya majira ya mpukutiko. Siku hizi, katika kijiji cha Nanzhuang, mtaa wa Dongshan, eneo la usimamizi la Shidao, la Rongcheng, mkoani Shandong, wanakijiji wa ushirika wa vijiji wanapura na kuhifadhi mahindi yaliyoanikwa, pilikapilika za kuvuna mazao zinaonekana vilivyo shambani.
Katika miaka hii ya karibuni, kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wazee vijijini, mashamba mengi yanatelekezwa , uchumi wa ushiriki wa vijiji umedidimia, vijiji vyingi vya Rongcheng, mkoani Shandong vilianzisha ushirika wa wakulima, wanavijiji wanaweza kupata hisa kwa ardhi yao, na ushirika unaendeshwa kwa pamoja, kwa sababu ya kutumia jinsi ya kutokana na kupanda mmea kwenye mashamba makubwa, gharama zilipunguzwa sana, hii inaongeza mapato ya ushirika wa vijiji, na pia inaongeza kipato cha wanavijiji.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma