Lugha Nyingine
Wamarekani wafanya maonesho ya taa za maboga
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 01, 2021
Jumatano ya Oktoba 27 saa za huko New York, Marekani yamefanyika maonesho ya taa za maboga maarufu kama ‘The Great Jack O’Lantern Blaze’ikiwa ni usiku wa shamrashamra kuelekea kwenye kilele cha sikukuu ya Halloween.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma