Lugha Nyingine
Maelfu ya michoro ya chuimilia na maandishi sanifu yakaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Malaysia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2022
Januari 16, wadau wa uchoraji wakionesha michoro na maandishi sanifu kuhusu chuimilia huko Klang, Selangor, Malaysia. |
Siku hiyo, wadau wa uchoraji na maandishi sanifu walionesha michoro ya chuimilia 2022 na maandishi sanifu ya lugha ya kichina ya chuimilia 2022 “Hu” ili kukaribisha ujio wa Mwaka wa Chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China.
Shirika la Habari la China, Xinhua (Mpiga picha: Zhang Wenzong)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma