超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Siku ya wanyamapori na mimeapori: kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2022
Siku ya wanyamapori na mimeapori: kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia
Hawa ni picha ya viboko iliyopigwa katika Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara ya Kenya Agosti 30, Mwaka 2021. (Xinhua/Mpiga picha: Dong Jianghui)

Machi 3 ni siku ya wanyamapori na mimeapori. Kaulimbiu ya siku hiyo kwa Mwaka 2022 ni “kurejesha viumbe muhimu na kurejesha mfumo wa ikolojia ” ambayo inalenga kuhamasisha watu kufuatilia hali ya kulinda wanyamapori walioko kwenye hatari kubwa ya kutoweka, na mimeapori iliyoko kwenye hatari ya kutoweka.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha