Lugha Nyingine
Rais wa China afanya ziara ya ukaguzi mkoani Sichuan (3)
(CRI Online) Juni 09, 2022
Rais Xi Jinping wa China jana asubuhi amefanya ziara ya ukaguzi katika kijiji cha Yongfeng na Hekalu la Sansu, mjini Meishan, mkoani Sichuan.
Katika ziara hiyo, rais Xi ametoa maelekezo mbalimbali juu ya kuhimiza ujenzi wa mashamba yenye kiwango cha juu, kuimarisha uzalishaji wa nafaka, kuhimiza ustawi wa vijiji, kukinga na kudhibiti janga la COVID-19, na kuhifadhi mali ya urithi wa kiutamaduni.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma