Wakulima wakivuna ngano ya majira ya baridi katika Kijiji cha Gaomiaoli, Shandong nchini China
|
Picha iliyopigwa Tarehe 12 Juni 2022 kutoka juu ikionyesha mashine ya kuvuna ikifanya kazi shambani kwenye Kijiji cha Dongjiazhuang katika Kitongoji cha Difang, Wilaya ya Pingyi, Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. Hadi kufikia saa 11 jioni Jumatatu hii, Mkoa wa Shandong, eneo la pili kwa uzalishaji wingi kwa wingi wa ngano nchini China, ulikuwa umemaliza kuvuna ngano ya majira ya baridi kwa eneo la hekta milioni 2.68 za mashamba, ambayo ni sawa na asilimia 67 ya ngano yake yote ya majira ya baridi. (Picha na Wu Jiquan/Xinhua) |
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)