Lugha Nyingine
Watu wafuruhia hali ya hewa nzuri wakati wa majira ya joto kwenye sehemu ya Mto Wujiang, Chongqing
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2022
Juni 12, 2022, watalii walipanda meli kutembelea katika eneo la Hualang lenye vivutio katika sehemu ya Mto Wujiang ya Wilaya inayojiendesha la Watujia na Wamiao ya Youyang ya Mji wa Chongqing, wakitazama mandhari nzuri ya bonde na mto na kufurahia upepo wa baridi kutoka mtoni katika majira ya joto. (Mpiga picha: Qiu Hongbin/Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma