超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Ufundi wa China wasaidia Burundi kuongeza utoaji wa mpunga

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2022
Ufundi wa China wasaidia Burundi kuongeza utoaji wa mpunga
Oktoba 29, mtaalam wa mpunga wa China Dan Songbai akitoa mafunzo ya kupanda mpunga kwa wakulima wa Wilaya ya Kihangga, Mkoa wa Bubanza, Burundi.

Katika miaka mingi iliyopita, China imepeleka wataalam wa kilimo kwenda sehemu mbalimbali za Burundi, ambapo wakitegemea Kituo cha vielelezo vya Ufundi wa Kilimo cha China nchini Burundi kutoa mafunzo ya ufundi wa kilimo kwa wakulima wa mikoa 14 na vijiji 22 vilivyopanda mpunga. Mtaalamu wa kilimo wa China nchini Burundi Yang Huade alisema kuwa timu ya wataalam ilifanikiwa kuongeza utoaji wa mpunga kutoka tani 3 hadi tani 10 kwa kila hekta kwa wastani, kutimiza ongezeko kubwa la kasi sana, na kutoa mchango kwa usalama wa nafaka za nchi hiyo.

(Mpiga picha: Dong Jianghui/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha