Lugha Nyingine
“Maonyesho ya Sanaa ya Mikono ya Utarizi wa Hariri wa Suzhou ya Gwiji Mkuu Gu Wenxia” yafunguliwa Suzhou
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 05, 2022
Hivi karibuni, “Maonyesho ya Sanaa ya Mikono ya Utarizi wa Hariri wa Suzhou ya Gwiji Mkuu Gu Wenxia” yalifunguliwa kwenye Jumba la Makumbusho la Suzhou. Maonyesho hayo yameonyesha sanaa murua za mikono ya utarizi wa hariri wa Suzhou zenye uwakilishaji zilizofanywa na Gwiji mkuu Gu Wenxia (mwaka 1931- mwaka 2022) , ambaye ni mrithi wa sanaa za utarizi wa hariri wa Suzhou kwenye mradi wa kwanza wa urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa na Gwiji mkuu wa sanaa wa China. Maonyesho hayo yanaleta uhondo kwa watembezi kufurahia ustadi murua wa kushangaza wa sanaa ya mikono ya utarizi wa hariri wa Suzhou. (Picha/Wang Jiankang)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma