超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Habari Picha: Kutembelea "makumbusho ya madaraja ya Dunia" Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 10, 2023
Habari Picha: Kutembelea
Picha hii iliyopigwa Tarehe 2 Februari 2023 ikionyesha daraja kuu la Dafaqu Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Ou Dongqu)

Mkoa wa Guizhou wa China una karibu nusu ya madaraja 100 marefu zaidi duniani. Kwa sababu ya idadi kubwa ya madaraja, muundo wake na teknolojia ngumu zinazotumika katika ujenzi wa madaraja hayo, mkoa huo unajulikana kama "makumbusho ya madaraja ya Dunia". 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha