Lugha Nyingine
Misemo iliyonukuliwa na Rais wa China Xi Jinping
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 07, 2023
Kama methali ya Afrika isemavyo, "Nguzo moja haitoshi kujenga nyumba." Nchini China, tuna msemo wa zamani, unaosema , "Kwenda ni kugumu kunapofanywa peke yako; kwenda hurahisishwa pale kunapofanywa na wengine wengi." Kufanya ushirikiano wa karibu, nchi za Asia na Afrika zitapata manufaa zaidi ya yale ambayo uwezo wao wa pamoja unaweza kuzalisha.
—— Hotuba ya Rais wa China Xi Jinping katika Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Asia na Afrika Tarehe 22 Aprili 2015
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma