Lugha Nyingine
Nafaka za majira ya mpukutiko zilizovunwa sehemu mbalimbali nchini China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2023
Wizara ya Kilimo na Vijiji ya China imesema siku ya Alhamisi kwamba asilimia 42.2 ya nafaka zote za majira ya mpukutiko zimevunwa katika sehemu mbalimbali nchini China. Na mchele zaidi ya nusu wa msimu wa kati, asilimia zaidi ya 40 ya mahindi, na karibu asilimia 40 ya soya imevunwa hadi sasa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma