Lugha Nyingine
Karamu ya kwenye meza ndefu ya mtaani yafanyika katika tamasha la utalii wa kitamaduni mkoani Yunnan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 20, 2023
Karamu ya kwenye meza ndefu ya mtaani, ambayo ni utamaduni unaoheshimiwa kwa muda mrefu wa kabila la Wahani nchini China, imefanyika katika Wilaya ya Luchun iliyoko eneo linalojiendesha la Makabila ya Wahani na Wayi la Honghe katika Mkoa wa Yunnan, Kusini-Magharibi mwa China wakati wa tamasha la utalii wa kitamaduni siku ya Jumapili.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma