Lugha Nyingine
Mkutano wa Tabianchi wa COP28 wapangwa kufanyika kuanzia leo katika mji wa maonyesho wa Dubai
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 30, 2023
Picha hii iliyopigwa Novemba 29, 2023 ikionyesha mandhari ya Mji wa Maonyesho mjini Dubai katika Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu. (Xinhua/Wang Dongzhen) |
Mkutano wa Tabianchi wa COP28, ambao unarejelea Mkutano wa 28 wa Nchi Watia saini kwenye Mkataba wa Mfumo wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi, umepangwa kufanyika katika Mji wa Maonyesho wa Dubai katika Nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu kuanzia leo Novemba 30 na kuendelea hadi Desemba 12.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma