Lugha Nyingine
Kutazama na kufurahia mandhari nzuri ya theluji katika Kasri la Ufalme la Beijing, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 14, 2023
Watalii wakifurahia kutazama na kupiga picha mandhari ya kuvutia ya theluji kwenye Kasri la Ufalme la Beijing, China, Desemba 13. |
Siku ya Jumatano, Desemba 13, Mji Mkuu wa China, Beijing umeshuhudia kuanguka tena kwa theluji kubwa, ambapo watalii wengi wamekwenda kwenye kivutio kikubwa cha utalii cha Kasri la Ufalme (Palace Museum) kufurahia na kutazama mandhari nzuri ya theluji.
(Picha na Li Xin/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma