Lugha Nyingine
Habari Picha: Watu wakitengeneza unga wa muhogo mjini Abidjan, Cote d'Ivoire (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 29, 2023
Mwanamke akipembua unga wa muhogo mjini Abidjan, Cote d'Ivoire, Desemba 27, 2023. (Picha na Yvan Sonh/Xinhua) |
Muhogo ni chakula kikuu muhimu barani Afrika. Ugali wa Attieke, unaopikwa kwa unga uliochachushwa unaotokana na muhogo, una asili ya makabila ya warasi kusini mwa Cote d'Ivoire, na umekuwa mlo muhimu kwa wenyeji.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma