Lugha Nyingine
Mafundi wa nchi mbalimbali washindana kuchonga sanamu ya barafu huko Harbin, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 04, 2024
Tarehe 3, Januari, Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Uchongaji Sanamu ya Barafu ya Harbin, China yameingia siku ya pili kwenye Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin. Timu washiriki zaidi ya 30 kutoka duniani kote zimechonga sanamu zao kwa umakini ili kuonesha uzuri wa majira ya baridi kali. (Picha na Wang Song/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma