Lugha Nyingine
Maonesho ya picha za kiutamaduni ya Sri Lanka na China yalenga kuhimiza urafiki na kufundishana kati ya tamaduni (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 23, 2024
Mwanamke akitazama Maonesho ya picha za kiutamaduni ya Sri Lanka na China huko Colombo, Mji Mkuu wa Sri Lanka, tarehe 16, Februari. (Picha na Wu Yue/Xinhua) |
Maonesho ya wiki moja ya picha za kiutamaduni ya Sri Lanka na China yamefanyika mjini Colombo kuanzia tarehe 16, Februari. Maonesho hayo yanalenga kuhimiza zaidi urafiki wa jadi wa Sri Lanka na China, na kuhimiza mawasiliano na kufundishana kati ya nchi hizo mbili katika sekta ya utamaduni, yakivutia watu wengi huko na watalii kutoka China kuyatazama.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Watu wa kabila la Wagelao washerehekea Sikukuu ya Maolong huko Guizhou, Kusini Magharibi mwa China
Wakulima kote China wawa na pilika nyingi za uzalishaji wa kilimo wakati Siku ya Yushui yakiwadia
Ndege C919 ya China yashiriki mazoezi ya Maonyesho ya Anga ya Singapore
Chuo Kikuu cha Kenyatta chafanya maonyesho ya dragoni wa China ili kukuza mawasiliano ya kitamaduni
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma