Lugha Nyingine
Watu watoa heshima kwa marehemu kabla ya siku ya Qingming katika Mji wa Beijing, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2024
Watu walioshika maua wakiomboleza marehemu kwenye sehemu moja ya makaburi ya mjini Beijing, Aprili 2, 2024. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Siku ya Qingming ya mwaka huu, ambayo ni Siku ya Kufagia Makaburi, itaanzia kote nchini China siku ya Alhamisi wiki hii. Ni siku ya jadi kwa Wachina kutoa heshima kwa marehemu na kuwaabudu mababu zao.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma