Lugha Nyingine
Bendera ya taifa ya China na Mabango ya Makaribisho yatundikwa sehemu nyingi za Serbia (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 07, 2024
Bendera ya taifa ya China na bendera ya taifa ya Serbia zikitundikwa kando ya barabara huko Beograd, Mji Mkuu wa Serbia. (Picha na Ren Yan/People's Daily Online) |
?Wakati siku ya kuwasili kwa Rais Xi Jinping wa China nchini Serbia inapokaribia, bendera ya taifa ya China na mabango makubwa yenye maneno ya lugha ya Kichina ya “Karibu kwa mikono miwili Rafiki Mheshimiwa kutoka China!” yametundikwa kando za barabara na kwenye majengo mbalimbali huko Beograd, Mji Mkuu wa Serbia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma