Lugha Nyingine
Wakulima wafurahia mavuno katika?majira ya joto (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 11, 2024
Mei 8, katika Wilaya ya Boai, Mji wa Jiaozuo, Mkoani Henan, mkulima akikausha mimea ya kutengeneza mafuta.((Mpiga picha: Cheng Quan/Xinhua) |
Wakati wa majira ya joto, mazao ya nafaka, mboga na matunda ya sehemu mbalimbali yameingia kwenye kipindi cha mavuno. Wakulima wamekuwa wakifanya pilikapilika mashambani ili kuhakikisha mazao yote yanawekwa kwenye ghala kwa wakati, wakifanya kazi shambani na kufurahia sana mavuno yao.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma