超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

‘Wahusika wa Filamu?ya Transformers’ wabadilisha taaluma mjini Chongqing, China na kuunda magari!

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 23, 2024
‘Wahusika wa Filamu?ya Transformers’ wabadilisha taaluma mjini Chongqing, China na kuunda magari!
Picha ikionyesha cheche zikiruka na mkono wa roboti ukiwa kazini. (Picha na Mwandishi wa Habari wa People’s Daily Online, Liu Yi)

Timu ya utafiti na mahojiano ya Gazeti la People’s Daily Online ya "Songa China" ya Chongqing imeingia katika kiwanda cha magari cha Chang’an cha Liangjiang, China, Mei 20. Katika kiwanda hicho, michakato muhimu inafanyika kiotomatiki kwa asilimia 100, na bidhaa zake zinauzwa sehemu mbalimbali duniani. Timu hiyo ipo tayari, ikiwa na data thabiti na hamasa kazini. Ninahisi hali ya teknolojia na siku za baadaye inayoletwa na "uzalishaji bidhaa" na "uzalishaji bidhaa kwa kutumia teknolojia za kisasa".

Mikono mingi ya roboti kwenye karakana ya kuchomelea hushirikiana. Kwa mbali, inaonekana kama tukio kutoka filamu ya "Transformers”.

Kupata maendeleo kwa kutegemea Uvumbuzi ni lebo muhimu ya kampuni ya magari ya Chang’an. Siku hizi, mageuzi ya teknolojia za kisasa ya karakana na uboreshaji wa kila wakati wa mstari wa uzalishaji unajitahidi kuunda magari mazuri kwa kila hatua.

"Magari haya yanaweza kuondoka kiwandani baada ya kufanyiwa majaribio mengi." Yao Yuqing, mkurugenzi wa idara ya usimamizi wa mstari wa kwanza wa uunganishaji sehemu za magari wa karakana hiyo amesema.

“Kuna uvumbuzi mwingi wa kiteknolojia kwenye karakana ya kuundwa kwa magari. Kwa kuchukua ‘teknolojia ya urekebishaji ya ADAS’ kama mfano, utumiaji wake unaweza kutuwezesha kuigilizia kwa usahihi zaidi na kujaribu ufanisi wa teknolojia za kisasa za kuendesha gari zima” amesema.

Yao Yuqing alikuwa akiyatazama magari yaliyokuwa yakikaguliwa moja baada ya lingine na kusema kwa fahari: "Kampuni ya magari ya Chang’an, yenye historia ya miaka mia moja, sasa imehamia kutumia 'nishati mpya', ikiimarisha mara kwa mara kushikamana na watumiaji, na kujipatia sifa kwa huduma zake. Kama sifa ni nzuri, chapa huja yenyewe."

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha