超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 03, 2024
Kijiji cha mjini Beijing chaendeleza utalii kwa kutegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China
Mwanakijiji akifanya kazi kwenye bustani katika Kijiji cha Shixia, Eneo la Yanqing la Beijing, Mji Mkuu wa China, Juni 1, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

BEIJING - Kijiji cha Shixia katika Eneo la Yanqing la Beijing, China kina historia tangu Enzi ya Ming ya China ya kale (1368-1644) na hapo zamani kilikuwa kituo muhimu kaskazini mwa sehemu ya Juyongguan ya Ukuta Mkuu wa China. Kijiji hicho, ambacho kimezungukwa na milima, kimeendeleza sekta ya utalii inayotegemea rasilimali za Ukuta Mkuu wa China katika miaka ya hivi karibuni na huvutia watalii kutoka duniani kote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha