Lugha Nyingine
Shughuli za Mashindano ya mashua ya dragon zafanyika sehemu mbalimbali nchini ?China ili kusherehekea sikukuu ya Duanwu (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 11, 2024
Tarehe 10, Juni, 2024, watu wakitazama mashindano ya mashua ya dragon kwenye Kijiji cha Gounan, eneo la Jinping la Mji wa Shantou wa Mkoa wa Guangdong, China. (Picha na Yao Jun/Xinhua) |
Sikukuu ya Duanwu, ambayo pia inajulikana pia ni Siku ya Mashindano ya Mashua ya Dragon, ni sikukuu ya jadi ya China, sikukuu hiyo ya kila mwaka ni siku ya tano ya mwezi wa tano kwa kalenda ya jadi ya China. Mwaka huu sikukuu hiyo ilikuwa siku ya Jumatatu wiki hii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma