Lugha Nyingine
Madaraja ya kale ya mawe yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
Wilaya ya Deqing wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China ni nyumbani kwa madaraja saba ya kale ya mawe ambayo yameorodheshwa kuwa maeneo muhimu ya urithi wa kitamaduni chini ya ulinzi wa kiwango cha serikali ya China. Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya hiyo inafanya juhudi kubwa katika ulinzi na ukarabati wa madaraja hayo ya kale ya mawe, huku ikihimiza kuunganisha rasilimali zake hizo za urithi pamoja na utalii wa kitamaduni na ziara za utafiti.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma