超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kutumia droni kufanya doria misituni kwapunguza hatari za maafa huko Yichun, kaskazini mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2024
Kutumia droni kufanya doria misituni kwapunguza hatari za maafa huko Yichun, kaskazini mashariki mwa China
Mfanyakazi kutoka DJI akielezea mfumo wa kupiga picha za utambuzi wa hali joto kwa ajili ya kufanya doria misituni kwa droni katika Idara ya misitu ya Dailing ya Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Juni 27, 2024.

Hivi karibuni, Idara ya misitu ya Dailing ya Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China imeunganisha teknolojia ya hali ya juu ili kuimarisha usimamizi wa misitu. Kwa kutumia droni, idara hiyo imeanzisha kazi ya kufanya doria misituni kwa kutumia teknolojia ya kisasa na ya kiotomatiki, ikipunguza kwa kiasi kikubwa hatari za maafa na kuboresha ufanisi wa doria misituni.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha