超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Rais Xi Jinping akutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2024

Mchana wa Julai 4 kwa saa za Astana, Rais Xi Jinping wa China akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wakati wa kuhudhuria Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Astana, Kazakhstan.(Xinhus/Pang Xinglei)

Mchana wa Julai 4 kwa saa za Astana, Rais Xi Jinping wa China akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wakati wa kuhudhuria Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Astana, Kazakhstan.(Xinhua/Pang Xinglei)

Mchana wa Julai 4 kwa saa za huko, Rais Xi Jinping wa China alikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wakati wa kuhudhuria Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Astana, Kazakhstan.

Rais Xi alisema kuwa hivi sasa kwa kukabiliwa na mabadiliko ambayo hayakutokea katika miaka mia moja iliyopita, binadamu wanakabiliwa na fursa na changamoto ambazo hazijawahi kutokea hapo kabla. Umoja wa Mataifa ni jukwaa kuu la kutekeleza ushirikiano wa pande nyingi na kuhimiza usimamizi wa dunia nzima, umuhimu wake unapaswa kuimarishwa,siyo kudhoofishwa. Bila kujali hali ya kimataifa inavyobadilika kwa namna gani, China siku zote inashikilia ushirikiano wa kweli wa pande nyingi na kuunga mkono Umoja wa Mataifa kufanya kazi muhimu katika mambo ya kimataifa.

Rais Xi alisisitiza kuwa nchi zote duniani ni jumuiya yenye mustakbali wa pamoja. Meli ya binadamu haitaweza kusafiri bila kukabiliwa na upepo na dhuruba kwa kuelekea siku za baadaye, jumuiya ya kimataifa lazima ishirikiane na kusainana ili kuhakikisha meli hiyo inasafiri kwa mwelekeo sahihi. China inaunga mkono mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa wa siku za baadaye na inatumai mkutano huo utatoa ishara ya kuhimiza juhudi za kushikilia ushirikiano wa pande nyingi, kuimarisha mshikamano na ushirikiano, na kuhimiza maendeleo ya usimamizi wa dunia kwa mwelekeo wa usawa na halali zaidi. China inaunga mkono Umoja wa Mataifa kufanya kazi yake ya kuongoza katika kuhimiza mageuzi ya mfumo wa mambo ya fedha ya kimataifa na usimamizi wa akili bandia wa dunia.

Mchana wa Julai 4 kwa saa za Astana, Rais Xi Jinping wa China akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wakati wa kuhudhuria Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Astana, Kazakhstan.(Xinhus/Pang Xinglei)

Mchana wa Julai 4 kwa saa za Astana, Rais Xi Jinping wa China akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres wakati wa kuhudhuria Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Astana, Kazakhstan.(Xinhua/Pang Xinglei)

Guterres alisema kuwa utaratibu wa sasa wa kimataifa, hasa mfumo wa mambo ya fedha ya kimataifa, unahitaji kufanyiwa mageuzi ili kuendana na maendeleo na mabadiliko ya hali ya kimataifa. Umoja wa Mataifa unapenda kufanya kila juhudi kuhimiza marekebisho ya mfumo wa mambo ya fedha ya kimataifa na usimamizi wa akili bandia wa dunia, na kuhimiza usimamizi wa dunia uendelee kwa mwelekeo wa usawa na halali zaidi, na unaosaidia zaidi nchi zinazoendelea kupata maendeleo kwa pamoja. Nashukuru kwa China kwa kuunga mkono mambo ya Umoja wa Mataifa, kufanya ushirikiano wa pande nyingi, na kufanya kazi yake muhimu na ya kiujenzi katika kuhimiza amani na maendeleo ya dunia. Mustakabali wa binadamu unategemea sana China. Umoja wa Mataifa unatarajia kuimarisha zaidi mawasiliano na ushirikiano na China.

Cai Qi, Wang Yi na wengineo walihudhuria kwenye mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha