超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Pilikapilika za soko la usiku zachochea na kuhamasisha uchumi wa usiku wa Guiyang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 18, 2024

Kwa Mji wa Guiyang katika Mkoa wa Guizhou, China wakati wa usiku, pilikapilika ni jambo lisiloepukika, huku kukiwa na mabanda mengi yenye vyakula vya kienyeji vya aina mbalimbali,maduka mapya ya vyakula,maduka madogo na yenye kupendeza ya vitu vya kitamaduni na kibunifu,,,yakileta pilika nyingi kote mtaani.

Sehemu kubwa ya maisha ya usiku ya watu wa Guiyang huanza na vitafunwa vya usiku. Wakati taa za usiku zinapowashwa, tembelea mtaa mmoja bila mpangilio, utashangaa kuona migahawa ya chakula imejaza mitaa na vichochoro, huku ikiwa na vyakula vya aina mbalimbali na wafanyabiashara wengi.

Katika Mji huo wa Guiyang kuna vyakula vitamu vingi, kama vile hotpot, tambi za utumbo, tofu na viazi mviringo na vyakula vinginevyo vya kienyeji.

Mbali na vyakula vitamu, katika mji huo wa Guiyang, ambako halijoto ya majira ya joto kwa wastani ni 22.3℃ tu, matamasha madogo ya muziki kando ya barabara ambayo unakumbana nayo bila kutarajia wakati wa “matembezi ya mjini”yatakufanya uhisi mshangao zaidi!

Kwa mujibu wa takwimu, tangu Julai Mwaka 2023, jumla ya matumizi ya manunuzi katika mambo ya starehe na burudani za usiku ya mji huo inachukua karibu 60% ya matumizi hayo ya siku nzima.

Maendeleo ya uchumi huo wa usiku hayawezi kutenganishwa na msisitizo wa Mkoa wa Guizhou juu ya "uchumi wa usiku". Mwaka 2023, Mkoa wa Guizhou ulitoa waraka elekezi wa kuboresha upangaji wa maendeleo ya uchumi wa usiku, kwa ubunifu ikajenga mazingira ya uchumi wa usiku, na kwa kidijitali ikawezesha kusaidia ujenzi wa uchumi wa usiku.

Hali ya ujana wa Guiyang, mtindo na uchangamfu wa Guiyang, na hali ya utulivu ya Guiyang vyote huonyeshwa wazi katika maisha ya usiku.

Kweli katika majira haya ya joto, hautakwenda Guiyang?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha