Lugha Nyingine
Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 8, 2024 ikionyesha hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Sikukuu ya Nadam huko Horqin Right Wing Front Banner, Ligi ya Hinggan, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Lian Zhen) |
Katika shughuli za siku tano za Tamasha la Sikukuu ya Nadam ya watu wa kabila la Wamongolia, zitafanyika shughuli za michezo na tamasha za muziki. Shughuli za mbio za farasi, mieleka na kupiga mishale zimeanza jana Alhamisi huko Horqin Right Wing Front Banner, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China.?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma