超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kuleta Faida za Kitamaduni kwa?Watu na kupelekea Opera maeneo ya vijijini Katika Mji Zhuji, Zhejiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Kuleta Faida za Kitamaduni kwa?Watu na kupelekea Opera maeneo ya vijijini Katika Mji Zhuji, Zhejiang, China
Wanakijiji wakiwa wamekusanyika kutazama filamu kwenye uwanja wa wazi wa ukumbi wa utamaduni katika Kijiji cha Tongxing cha Tongshan, Mji wa Zhuji, China, Agosti 8. (Xinhua/Xu Yu)

Hivi karibuni, kwa njia ya "watu kutoa oda, ukumbi kupokea oda, watu wa kujitolea kutekeleza oda", watu wa kujitolea katika Kijiji cha Tongshan, Mji wa Zhuji, Mkoa wa Zhejiang, China wamekuwa wakitoa huduma “jongefu” kwa wanakijiji, wakifanya maonyesho ya kuimba opera, maonyesho ya kucheza ngoma, maelezo ya uainishaji wa takataka, elimu ya kupinga ulaghai wa mtandaoni na shughuli nyinginezo kwa vijiji mbalimbali. Hali kadhalika, wanakijiji wanaweza kupata huduma bila malipo kama vile kukata nywele, ukarabati wa vifaa vya umeme vya nyumbani na huduma nyinginezo.

Tangu mwaka huu uanze, kwa kutegemea ukumbi wa utamaduni, nyumba ya vitabu ya Kijiji, bwalo la upendo na mahali mengine, Kijiji cha Tongshan kimefanya shughuli zaidi ya 70 za faida za kitamaduni kwa watu, kama vile " maonyesho ya opera, shughuli za kuzawadia vitabu" na shughuli nyinginezo, zikinufaisha watu wapatao 2,500. (Xinhua/Xu Yu)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha