Lugha Nyingine
Watu Watembelea Kituo?cha Tembo?Yatima?cha Sri Lanka
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2024
Picha iliyopigwa Agosti 11 ikionyesha kundi la tembo katika Kituo cha Tembo Yatima cha Pinnawela nchini Sri Lanka. (Xinhua/Wu Yue) |
Agosti 12 ya kila mwaka ni Siku ya Tembo Duniani. Kituo cha Tembo Yatima cha Pinnawela nchini Sri Lanka kilianzishwa mwaka 1975 na kinajikita mahususi katika kuasili tembo wachanga ambao wamepoteza wazazi wao msituni au tembo wenye kukabiliwa na majeraha na magonjwa.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma