Lugha Nyingine
Mwezi mkubwa mzima wang'aa usiku wa Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2024
Mwezi ukichomoza Mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, Septemba 17, 2024. (Picha na Fang Dongxu/Xinhua) |
Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China, ambayo huadhimishwa kila mwaka katika siku ya 15 ya mwezi wa nane kwenye kalenda ya kilimo ya China, imeangukia Septemba 17 mwaka huu. Ikiwa ni moja ya sikukuu muhimu zaidi za jadi za China, ni kipindi cha furaha wakati familia zinapojumuika, kutazama kwa pamoja mwezi mkubwa mzima na kuonja kwa pamoja keki za mwezi, ambayo ni kitafunwa cha kijadi, kinachoashiria msimu wa mavuno.?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma