Lugha Nyingine
Kutazama maonyesho ya watembea angani kwenye mnyororo wa chuma ulioko?kati ya?vilele viwili virefu vya Mlima Douqi, Mkoani?Sichuan, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Septemba 16, 2024, wakati wa likizo ya Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi, ya China watalii wengi walitembelea Mlima Douqi ulioko Jiangyou katika Mji wa Mianyang, Mkoa wa Sichuan, China kutalii na kutazama maonyesho maarufu wa watembea angani kwenye mnyororo wa chuma kati ya korongo lililo kati ya vilele viwili virefu vya mlima huo.
Watumbuizaji hao walitembea angani kwenye minyororo miwili ya chuma iliyoko kati ya vilele viwili vyenye urefu wa mita takriban 70 na umbali kati yao wa mita 30, na kufanya maonyesho ya ustadi wa kiwango cha juu, wenye kusisimua na wa hatari kwenye minyororo hiyo ya chuma, hali ambayo iliamsha shangwe na makofi ya pongezi kutoka kwa watazamaji. (Picha na Zhang Bo/vip.people.com.cn)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma