超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

China yashuhudia kuongezeka kwa safari za kitalii wakati wa likizo ya Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
China yashuhudia kuongezeka kwa safari za kitalii wakati wa likizo ya Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi
Watalii wakipanda ngamia kwenye Ziwa Mingshashan na Crescent, sehemu ya kivutio cha watalii ya oasis katika Jangwa la Gobi, huko Dunhuang, Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Septemba 15, 2024. (Picha na Zhang Xiaoliang/Xinhua)

BEIJING - Safari za abiria takriban milioni 629.56 zimeshughulikiwa na sekta za usafirishaji nchini China wakati wa likizo ya siku tatu ya Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China, ikiwa ni ongezeko la asilimia 31.1 kuliko kipindi kama hicho mwaka jana, takwimu kutoka Wizara ya Uchukuzi ya China zimeonyesha siku ya Jumatano.

Kwa jumla, China imerekodi safari za abiria milioni 42.57 kwa njia ya reli, milioni 1.98 kwa maji, na milioni 5.07 kwa ndege.

Safari za kutumia magari barabarani zilichukua sehemu kubwa, huku zikiwa na safari milioni 579.94 za abiria.

Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China iliangukia Septemba 17 mwaka huu.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha